DAMAS DAMIAN
Senior Member
- Apr 8, 2011
- 115
- 54
You should be working at that time. That is why Tanzania is poor because of using your working time in such things "Politricks". How many working hours are you Tanzanians going to lose in totality?Habari mwana Korogwe. Uongozi wa CHADEMA unakutaarifu kuwa siku ya J. Tano tar 24.09. Kutakuwa na maandamano ya amani, kupinga Bunge la katiba kuendelea kula fedha za wananchi. Hivyo unatakiwa kuhudhuria saa Nane mchana kwenye Ofisi yetu ya Chama iliyopo Mtaa wa Kirikiri- Manundu, ili tuandamane hadi uwanja wa Sokoni. Wajulishe na wengine. UONGOZI WA WILAYA
You should be working at that time. That is why Tanzania is poor because of using your working time in such things "Politricks". How many working hours are you Tanzanians going to lose in totality?
taifa lenye wanaume waoga kama wewe lazima litakua maskini tu..COWARDPoleni sana washamba wa Siasa mnaopelekeshwa na msiyoyajua. Nchi hii haiwezi kuendeshwa kwa maandamano. Watu wana kazi zao msiwapotezee muda kwa maandamano yasiyo na tija. Chukua familia yako na majirani mwende. Andaeni miili yenu kwani Polisi mmewadharau vya kutosha sasa hawatawavumilia. Bukoba msithubutu kutusumbua. Hiyo hela waliyopewa wakubwa zenu inawapa shida, Wachaga wanashiba na familia zao wewe utakufa na mabomu hakuna wa kukutetea. Shauri zako!
Poleni sana washamba wa Siasa mnaopelekeshwa na msiyoyajua. Nchi hii haiwezi kuendeshwa kwa maandamano. Watu wana kazi zao msiwapotezee muda kwa maandamano yasiyo na tija. Chukua familia yako na majirani mwende. Andaeni miili yenu kwani Polisi mmewadharau vya kutosha sasa hawatawavumilia. Bukoba msithubutu kutusumbua. Hiyo hela waliyopewa wakubwa zenu inawapa shida, Wachaga wanashiba na familia zao wewe utakufa na mabomu hakuna wa kukutetea. Shauri zako!
Poleni sana washamba wa Siasa mnaopelekeshwa na msiyoyajua. Nchi hii haiwezi kuendeshwa kwa maandamano. Watu wana kazi zao msiwapotezee muda kwa maandamano yasiyo na tija. Chukua familia yako na majirani mwende. Andaeni miili yenu kwani Polisi mmewadharau vya kutosha sasa hawatawavumilia. Bukoba msithubutu kutusumbua. Hiyo hela waliyopewa wakubwa zenu inawapa shida, Wachaga wanashiba na familia zao wewe utakufa na mabomu hakuna wa kukutetea. Shauri zako!
Vijana ni Taifa la kesho na uzalishaji ni muhimu zaidi ya ujinga wa kuandamana. Vijana tubuni kazi mbalimbali za kufanya, tuache kufanya kazi za wanasiasa kwani ni kazi yao. Kwao maisha yako JIONI. Funguka kijana, achana na kudanganywa kupoteza muda wako!
You should be working at that time. That is why Tanzania is poor because of using your working time in such things "Politricks". How many working hours are you Tanzanians going to lose in totality?
Habari mwana Korogwe. Uongozi wa CHADEMA unakutaarifu kuwa siku ya J. Tano tar 24.09. Kutakuwa na maandamano ya amani, kupinga Bunge la katiba kuendelea kula fedha za wananchi. Hivyo unatakiwa kuhudhuria saa Nane mchana kwenye Ofisi yetu ya Chama iliyopo Mtaa wa Kirikiri- Manundu, ili tuandamane hadi uwanja wa Sokoni. Wajulishe na wengine. UONGOZI WA WILAYA
A thinker will never waste his/her time with "Politricks" tricks. Get a life stop depending on politicians who are earning monies through your idiocy.Kiingereza cha darasa la ngapi hiki? Bila shaka ni 'English for Beginners'. Ongeza juhudi utakuja kielewa.
Tutaandamana kwa sababu ni haki yetu ya msingi wewe usi mshamba kaa nyumbani na wanao ungoje kuvimbishwa mihela na wezi mambazi wa CCM na wapiga dili mapedhess wa Magogoni sisi tuache tukombowe nchi kwa niaba yako na mama yako masikini wa kutupwa anaye chota maji Rambo moja na ng,ombe mbuzi, na pundaPoleni sana washamba wa Siasa mnaopelekeshwa na msiyoyajua. Nchi hii haiwezi kuendeshwa kwa maandamano. Watu wana kazi zao msiwapotezee muda kwa maandamano yasiyo na tija. Chukua familia yako na majirani mwende. Andaeni miili yenu kwani Polisi mmewadharau vya kutosha sasa hawatawavumilia. Bukoba msithubutu kutusumbua. Hiyo hela waliyopewa wakubwa zenu inawapa shida, Wachaga wanashiba na familia zao wewe utakufa na mabomu hakuna wa kukutetea. Shauri zako!
wabongo kwa bwebwe kiingereza chenyewe hujui...kilaza kabisa wewe
You are just a naïve and a failed creature , why don't you burry yourself and be counted as a corpse how dare you cant organize your life politically ,you are a disguise to our nationA thinker will never waste his/her time with "Politricks" tricks. Get a life stop depending on politicians who are earning monies through your idiocy.
Nya-=********n umetumwa wewe hadi wachukue huyo mkeo wa ndani ndio utazinduka!! Grrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!! I hate you!!Poleni sana washamba wa Siasa mnaopelekeshwa na msiyoyajua. Nchi hii haiwezi kuendeshwa kwa maandamano. Watu wana kazi zao msiwapotezee muda kwa maandamano yasiyo na tija. Chukua familia yako na majirani mwende. Andaeni miili yenu kwani Polisi mmewadharau vya kutosha sasa hawatawavumilia. Bukoba msithubutu kutusumbua. Hiyo hela waliyopewa wakubwa zenu inawapa shida, Wachaga wanashiba na familia zao wewe utakufa na mabomu hakuna wa kukutetea. Shauri zako!