Maandamano ni ushamba

Usimtetee, hakusema maandamano ya CHADEMA, bali amesema maandamano kwa ujumla wake, kwa hiyo hata yale ya ccm wanayofanya asubuhisubuhi nchi nzima wenyewe mkiyaita ya mshikamano ni ushamba mtupu! (Rc wenu wenyewe huyo!)

matembezi ya mshikamano nayo ni ushamba mkuu?
 
meck sadick ndio mshamba na masiasa yake ya kizamani, maandamano ni demokrasia na njia ya kutoa malalamiko, mbona sauzi wameandamana ila hakuna hata aliyepigwa kofi
 
ukitaka kuelewa maana ya maandamano nenda
1.Egypt-hadi sasa yanaendelea
2.Brazil ingawaje wamechukua kombe maandamano yapo palepale
3.uturuki-hakuna kulala
Maandamano ni njia moja wapo ya kuonyesha kukubaliana ama kutokukubaliana na swala fulani.
Cha msingi hapa ni kuomba Rais Obama aje na aondoke salama ktk ardhi ya Tanzania
 
Nchi ikiwa na viongozi wa Kuokoteza okoteza shida sana.Hivi huyu bwana kabla hajawa mkuu wa mkoa alikuwa nani?I cannot see any intelligence in him,Really!!
 
Kwanza ni DHARAU kwa JIJI kama DSM kuwa na MKUU wa MKOA kama yeye!
DSM inahitaji angalau mwenye ID ya UPROFESA au UDAKTARI hata kama wengine ndo waleee wa MSEMAKWELI!
Kama ni ushamba hata kuzungumzia kitu cha ushamba nao ni ushamba!
Swali:
TBC ndo akina nani vile??!
 
Hatutishwi kwa maneno tu lazima tuandamane, mimi namalizia kuaandaa bango langu hapa "Obama kama kuiba rasilimali zetu iba sasa iv 2015 hamna chenu hapa"
 
Alitaka jf mjadili mada yake ili madin yaliyokusanywa yaendelee kuingia airport au hamjui wao ndio wanaokagua na kuidhinisha ndege gan ishuke na mizigo ipi iondoke. Fbi noma,kumbuken waliingia afganstan na ndege zisizoonekana,vp bongo yetu,hatujapigwa changa? Kuhusu mkuu wa mkoa,sina meng kwan kamtukana hata rais wake na kaitukana katiba,inashangaza kiongoz wa serikal kufanya kaz za kina nape.
 

Kila siku ukiamka unaoga na kuvaa nguo zako, unapata kifungua kinywa kisha unaingia barabarani "Kuandamana" Mkuu Maandamano hayakwepeki!!!
 

Sio kweli kuwa wanaoandamana wote ni proletariat class, Rais kazi yake nini kama kuna mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi kufanya kazi zote za maendeleo, jibu lake lihamishie kwa mkuu wa mkoa
 
yeye ni sawasawa na sindano inatiwa uzi lakini hailalamiki
 
Obama akiwa SA; watu wameruhusiwa kuandamana wakiwa na mabango yao ya kutosha.
Viongozi wa serikali ya Tz utafikiri wana dunia ya peke yao wanayoishi au ndo ulevi wa madaraka?
 

Mtoto wa mkulima nini huyu mkuu wa mkoa!! Hajui kuwa maandamano ni haki ya kikatiba,ndio yale majizi,halieleweki limetoka wapi linapewa ukuu wa mkoa na jizi mwenzie. Wote watoto wa wakulima tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…