M Maze Member Joined Oct 29, 2010 Posts 88 Reaction score 36 Jan 22, 2011 #1 wana jf natamani kujua maandamano jiji mbeya yamefanyika na watu waliitikiaje. tafadhali tuhabarishane wana jf😛layball::lalala:
wana jf natamani kujua maandamano jiji mbeya yamefanyika na watu waliitikiaje. tafadhali tuhabarishane wana jf😛layball::lalala:
F Fenento JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 322 Reaction score 63 Jan 22, 2011 #2 Wana JF ambao mnataarifa tunawaombeni sana mtuhabarishe yaliojili kwenye mikoa mbalimbali na tukipata picha ni vizuri zaidi. Hii kwetu ni tathimini nzuri sana.
Wana JF ambao mnataarifa tunawaombeni sana mtuhabarishe yaliojili kwenye mikoa mbalimbali na tukipata picha ni vizuri zaidi. Hii kwetu ni tathimini nzuri sana.
VoiceOfReason JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,194 Reaction score 1,375 Jan 22, 2011 #3 Mbona hata Sugu alikuwepo Dar... mbeya kulikuwa na nani?
N niweze JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 1,008 Reaction score 118 Jan 23, 2011 #4 Tunaomba inform huku north tujua nguvu zenu za kuhamasisha....Tunisia inakuja....
N ngwendu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2010 Posts 1,964 Reaction score 175 Jan 23, 2011 #5 niweze said: Tunaomba inform huku north tujua nguvu zenu za kuhamasisha....Tunisia inakuja.... Click to expand... Kinyesi! hivi mnatarajia hii Tz ni yenu peke yenu? takutana na nguvu ya uma part one. hiyo ya kwenu cha mtoto aka part 2.
niweze said: Tunaomba inform huku north tujua nguvu zenu za kuhamasisha....Tunisia inakuja.... Click to expand... Kinyesi! hivi mnatarajia hii Tz ni yenu peke yenu? takutana na nguvu ya uma part one. hiyo ya kwenu cha mtoto aka part 2.