Taarifa nilizozipata hivi punde huko Mabibo Hostel kumekuwa na maandamano tangu saa 12 asubuhi. Wanafunzi wamevunja milango ya mabweni ya wasichana kuwashinikiza waungane kwenye maandamano na lango kuu la kutokea limefungwa.
Wanaelekea Mlimani, naona kama wako disorganised hivi na ngungutri nomewaona wameshatinga na magari yao hapa kwenye njia ya kuelekea kwenye hosteli zao lakini wameshaanza kuandamana
Baada ya HOSNI anafuata JK, hatuwezi kuteseka na maisha magumu kiasi hiki wakati yeye na wahuni wenzake wanawalipa DOWANS mapesa ya WaTZ. Lazima EGYPT ihamie TZ mwaka huuuuuuuuuuuuuu:sick::sick::sick::sick::sick::sick::sick: