Maandamano maana yake ni nini?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
kuuliza sio ujinga,nini maana ya maandamano?
Mfano kukiwa na harusi ama mchezo wa simba na yanga wanacheza,mashabiki wakiwa wanatoka uwanjani mashabiki si wanaandamana? na kama wanaandamana ni maandamano gani yamepigwa mafuruku?
 
Back
Top Bottom