Hicho ni kitabu cha INTERMEDIATE STAGE kwenye CPA bado kuna kitabu kingine kama hicho kwenye FINAL STAGE kazi ipo.Ila umewasaidia watu kwa ku upload hio material,big up chief.
Yeah, umefanya vizuri kweli kuleta soft copy ya hiki kitabu , yaani hapa wa customs & tax officer wasome tu hiki kitabu kina almost kila kitu kuhusu TAX.
Halafu msisahau kupitia na website ya TRA kucheki ACTS & LAWS