amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Washabiki wakijiandaa kwenda mkutano wa Magufuli. Malori yamechelewa kufika ila yanasubiriwa. Viroba na Laga vinafanya mambo.
naona uko kazini mkuu,,,habari yako?....
Bia Bure
Fulana bure
Viroba bure
Kofia bure
Kanga bure
naona uko kazini mkuu,,,habari yako?....
Safi mkuu. We leo umepoa sana vipi malipo hakuna Lumumba leo?