VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Osha vizuri, ukimaliza menya weka kwenye sufuria tia maji kiasi na chumvi kisha funika
baada ya dakika 15 vitakuwa tayari weka kwenye sahani
tayari kwa kuliwa.....

maandaliIizi yapi kijana ya kimwili au mazingira,afu si lazima kuduu
Asante kwa hilooooo!
mchemsho wetu unaweza kula kwa chapati au maandazi kutegemea mazingira uliyopo
yote hayo mawili
ujasoma sayansi kimu???? au kama ni wa silabasi za majuzi
Osha vizuri, ukimaliza menya weka kwenye sufuria tia maji kiasi na chumvi kisha funika
baada ya dakika 15 vitakuwa tayari weka kwenye sahani
tayari kwa kuliwa.....
Osha vizuri, ukimaliza menya weka kwenye sufuria tia maji kiasi na chumvi kisha funika
baada ya dakika 15 vitakuwa tayari weka kwenye sahani
tayari kwa kuliwa.....
Evelyn Salt acha ujuaji na kuharibu hoja.wewe huelewi nini hapo? acha hizo..

huwezi ukawa umenitangulia shule.turudi kwenye hoja
Kwani wewe huelewi nini hapo?hayo sio maandalizi?Evelyn Salt acha ujuaji na kuharibu hoja.wewe huelewi nini hapo? acha hizo..