Bila shaka ulishawahi kumuona mtoto anavyokuwa anaongea na mambo yake anayoyafanya. Mtu akikwambia una mambo ya kitoto anamaanisha akili yake haijakomaa kuwezi kufanya majambo yanayofanywa na watu wazima (Japo unaweza kuwa mtu mzima).
To make it worse amelinganisha umbo lako dogo na akili za kitoto, ni kama double matusi.