Maamuzi

Joined
Nov 14, 2017
Posts
9
Reaction score
1
Leo kilichotokea ni matokea ya kesho kwani,mwanasiasa anatoka upande wa upinzani anaenda chama tawala anajua tu atapokelewa upande wa pili,hii inafaida chache.

Lakini kama hivi vyama vingeweka limitation flani flani wanao hama wangefanya maamuzi mengine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…