Maamuzi ya Benchika yanatokana na uwezo, jeuri, ubabe, ujasiri, uoga au anatafuta sababu ya kuondoka Simba?

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Ninashindwa kumuelewa huyu kocha sasa hivi, mechi ilionekana kuwa ngumu tangu mwanzo, tulikuwa tunacheza na Yanga na Azam ili tufungwe kesho watuzomee bandarini, unampanga Kanoute, Sarr na Ngoma washindane na akina Abuya, Tchakei na Morrice na Kaseke?

SIMBA ilionekana kupoteana tangu awali, yaani leo Simba inazidiwa mambo ya ushirikina na Singida?

Tuliwaambia tangu juzi wana akina Peter manyika wana Nizzar Halfan, wana Deus Kaseke hao wote ni wanachama wa Yanga, wana mapenzi nayo, tunawaambia jaman hawa jana walikuwa na watu wa utopolo msidharau gemu nyie mnatuona mahanithi, sasa Benchika unamuingiza huyo dogo mzanzibar ktk mechi tafu namna hiyo kweli?

Si afadhali ungemuingiza Chasambi lakini dogo huyo ndio kwanza anaanza we Benchika unajifanyia tu maamuzi, na viongozi mnamuangalia tu, huyo Benchika hana muda Simba.
 
m

Mnataka kumfukuza na huyo? Mtafukuza makocha wangapi😇
 
Punguza GUBU na wewe dah!
 
FB_IMG_1704916597858.jpg
 
Kwa hiyo walizidiwa ushirikina? Mkiendelea kujificha kwenye Mambo ya kipuuzi kama haya na kushindwa kukemea usajili wa kitapeli wa kina Dulla Mbabe timu itakuwa ya ovyo siku zote.
 
Ninashindwa kumuelewa huyu kocha sasa hivi, mechi ilionekana kuwa ngumu tangu mwanzo, tulikuwa tunacheza na Yanga na Azam ili tufungwe kesho watuzomee bandarini, unampanga Kanoute, Sarr na Ngoma washindane na akina Abuya, Tchakei na Morrice na Kaseke?

SIMBA ilionekana kupoteana tangu awali, yaani leo Simba inazidiwa mambo ya ushirikina na Singida?

Tuliwaambia tangu juzi wana akina Peter manyika wana Nizzar Halfan, wana Deus Kaseke hao wote ni wanachama wa Yanga, wana mapenzi nayo, tunawaambia jaman hawa jana walikuwa na watu wa utopolo msidharau gemu nyie mnatuona mahanithi, sasa Benchika unamuingiza huyo dogo mzanzibar ktk mechi tafu namna hiyo kweli?

Si afadhali ungemuingiza Chasambi lakini dogo huyo ndio kwanza anaanza we Benchika unajifanyia tu maamuzi, na viongozi mnamuangalia tu, huyo Benchika hana muda Simba.
Kwahiyo ulitaka Chasambi arudishwe kutoka Cote D'Ivoire ili acheze dhidi ya Singida sio? Au mpira hujui?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom