Ni maamuzi gani magumu ambayo umewahi kuyapitia au kuyafanya kipindi cha mahusiano ambayo huwezi kuyasahau kamwe.
Ni maamuzi gani magumu ambayo umewahi kuyapitia au kuyafanya kipindi cha mahusiano ambayo huwezi kuyasahau kamwe.
why...Nilimuacha Mwanamke , niliyempenda sana iliniuma ila nli move up.
... Cheating tu, siunajua wanawake mlivyo.
Mmh!Nilimpenda sana, ila yeye vituko kila siku, ugomvi kila siku.
Ilikuwa bi vigum but for my own safety ilinibidi nifanye hivyo. Sijutii yale maamuzi mpaka leo