Maalumu kwa wansohitaji AVN number

Maalumu kwa wansohitaji AVN number

Kama kuna unamfaham mpe taaarifa tushikiane mr/mis Gyole
 
Habari zenu, kwa wale tunaopata tatizo la avn namba nacte napendekeza tuunde group la watsap ili tuwe tunasaidiana jinsi ya kufanya, ni pendekezo tuu kama upo tayari nitumie namba pm,na mungu akitusaidia tutasaidiana katika kuchagua vyuo
Sure bro AVN ni zaidi ya tatizo
 
Back
Top Bottom