CUF wameshashinda Unguja na Pemba majimbo mengi tu MjiKongwe, Bumbwini (kwa Mamkwe) na majimbo ambayo uhakika wa kushinda bila jasho ni Tumbatu, Bububu, Mlandege, Magogoni, Mpendae n.k CCM haijapata kushinda jimbo kipande Pemba, kwa hiyo chama gani ni cha upande mmoja??? utajaza......!!!Sivyo Hivyo ukweli ni kuwa Hapa Zanzibar sewhemu amabayo CUF inaweza kushinda ni Wilaya ya Micheweni, Wilaya ya Wete na Wilaya ya Chake. Wilaya ya Mkoani inagawana majimbo nusu kwa nusu na wapinzani wake. Unguja haiwezi kushinda katika Wilaya yoyote ya huko.
CUF wameshashinda Unguja na Pemba majimbo mengi tu MjiKongwe, Bumbwini (kwa Mamkwe) na majimbo ambayo uhakika wa kushinda bila jasho ni Tumbatu, Bububu, Mlandege, Magogoni, Mpendae n.k CCM haijapata kushinda jimbo kipande Pemba, kwa hiyo chama gani ni cha upande mmoja??? utajaza......!!!
CUF wameshashinda Unguja na Pemba majimbo mengi tu MjiKongwe, Bumbwini (kwa Mamkwe) na majimbo ambayo uhakika wa kushinda bila jasho ni Tumbatu, Bububu, Mlandege, Magogoni, Mpendae n.k CCM haijapata kushinda jimbo kipande Pemba, kwa hiyo chama gani ni cha upande mmoja??? utajaza......!!!
Nafikiri alichosema Hamad ni very sensitive. Tunahitaji uchunguzi na ikithibitika ni kweli basi watu wawajibishwe. Tunajenga utawala bora na rule of law lakini viongozi (wanasiasa) wanatuangusha.
Na kwa taarifa tu yule Mw'kiti wa tume ile ya mwanzo 1995(Jaji Zubeir Juma Mzee) iliyomnyan'ganya ushindi Maalim Seif, hivi sasa ni mwendawazimu wa kuokota makopo, Mw'mungu anamlipa kwa dhulma yake. Na wengine wanafuatia kama akina Mkapa, wameuwa, wameiba, waomenyanyasa, wamepiga na sasa Mw'mungu anawalipa hawaishi kwa amani kila siku wamo midomoni mwa watu wakitajwa kwa ubaya, mpaka wafe kwa presha na sukari.Hakuna ubishi CCM wanatumia tume ya uchaguzi kujihakikishia ushindi hata pale wanaposhindwa.Maalim seif amshindwa mara zote kujifunza tangu mwaka 1995 kwamba kinachomwangusha ni tume ya uchaguzi.Nina amini kabisa Maalim alishinda uchaguzi wa mwaka 1995 lakini tume ikishinikizwa na wanasiasa wenye ushawishi mkubwa wakaamua kumtangaza Dr Salimin kuwa Rais wa Zanzibar
CUF wakijipanga vizuri wanaweza kutoka na ushindi lakini mgombea awe mtu mpya na Maalim Seif ampigie debe.namsikitikia sana Hamad, kuna uwezekano mkubwa sana wa kushindwa kutimiza ndoto zake za kuwa rais wa Zenj,CCM wanajua wanachokifanya always...
CUF wakijipanga vizuri wanaweza kutoka na ushindi lakini mgombea awe mtu mpya na Maalim Seif ampigie debe.
Kama Seif atag'ang'ania tena kugombea yatakuwa yaleyale ya chaguzi 3 zilizopita.
Ebu tujiulize kwanza. Huko Pemba Serikali iko mikononi mwa CUF. Na masheha hao ni wa CUF. Sasa hao Shariff anaolalamikia ni Masheha kutoka Chama gani? Naomba tafakali na fact zaidi.
Bw. Ncha Vipi? hawakukueleza kuwa sheria za ID zinazuia kuandikishwa watu kutoka Bara (Dar na Tanga) ambao hawastahili kupiga kura Pemba, ambao hupelekwa huko na jamaa na mashemegi zao waliohamia Dar na Tanga (ambao aghalabu huwa ni wafuasi wa CUF).Hao kwa udanganyifu walipiga kura chaguzi zilizopita. Be fair- liangalie suala hilo, kwa upeo. usibabaishwe na ya vijiweni tu.Wadau mi niko Pemba, hayo ya kusema kuna mkakati wa kukibania CUF Pemba yawezekana.
Bw. Ncha Vipi? hawakukueleza kuwa sheria za ID zinazuia kuandikishwa watu kutoka Bara (Dar na Tanga) ambao hawastahili kupiga kura Pemba, ambao hupelekwa huko na jamaa na mashemegi zao waliohamia Dar na Tanga (ambao aghalabu huwa ni wafuasi wa CUF).Hao kwa udanganyifu walipiga kura chaguzi zilizopita. Be fair- liangalie suala hilo, kwa upeo. usibabaishwe na ya vijiweni tu.
Pole sana ndugu yangu, sasa habari hizo zitafakari vizuri na jihadhari usije ukapandishwa jazba na wewe ukaanza kuropokwa yale ya ovyo.Hilo lawezekana! sijalifanyia uchunguzi na ukiwauliza wanasema halijatokea, ni ngumu kukubali hata kama ni kweli. wanachosema ni kuwa CCM huwa wana-import wabara na kuwatembeza kwa malori sehemu mbalimbali, bahati mbaya wote nilioongea nao yaonekana ni wafuasi wa CUF.
Yote nayapata vijiweni kwenye kahawa ya jioni!! sina muda wa kwenda maofisini!!
.Safari hii, Ngoma itakavopigwa ndivo itakavochezwa.. Tusubiri
Pole sana ndugu yangu, sasa habari hizo zitafakari vizuri na jihadhari usije ukapandishwa jazba na wewe ukaanza kuropokwa yale ya ovyo.