Maalim Seif Shariff Hamad Aitikisa SMZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif Shariff Hamad Aitikisa SMZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Junius, Aug 3, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  By Mpoki Bukuku, Pemba

  Atop Civic United Front (CUF) leader has accused Union and Zanzibar government agents of eroding the party's support base in Pemba by refusing to issue residence IDs to CUF supporters.

  Speaking at a rally in Wete on Saturday, CUF secretary general Seif Shariff Hamad said community leaders, commonly known as 'Shehas', had been refusing to issue residence cards to some known party members as a way of making them ineligible to vote.

  "It is disappointing that even a regional commissioner pretends to have directed Shehas to register our people but they are still being turned away unregistered. This is amazing, but let's wait and see," he complained.

  Mr Hamad claimed that the Union and Zanzibar governments enjoy very little support in Pemba hence their decision to employ the tactic of weakening his party.

  "They have created a terrible situation here, people are being denied their right; it's like denying them their citizenship right," he said.

  He also claimed that IDs had been issued to ineligible Zanzibaris like those with permanent residences in Tanzania Mainland so they could vote for the ruling party.

  The opposition party supremo said his followers were on the edge and about to say 'enough is enough'.

  "They have abused our rights for a long time and we have been quiet, time has come now for us to demand for our rights," he said.

  Speaking at the same rally, a special seats MP claimed that there were several youths in Mainland who had been issued with identity cards waiting to be ferried to Pemba to vote.

  "We should be vigilant all the time and expose unfamiliar faces. We should be on alert during the Uhuru Torch race as it is during this time that we receive many guests," she said.

  Speaking at the same rally, the Leader of Official Opposition in the Parliament, Mr Hamad Rashid Mohammed (Wawi-CUF), called on President Jakaya Kikwete to resign for failing to deliver.

  He said the way the government had handled the Richmond saga was a testimony that it had failed to deliver.

  "Instead of addressing it, President Kikwete has created another crisis in Zanzibar, this is going to backfire,"he added.


  SOURCE:THE CITIZEN
   
 2. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hamad hana jipya, alianza vyema sasa anajikanyaga, anatafuta madhaifu madogomadogo badala ya kujenga chama, si yeye anakula hela za ID's katika muafaka? kwani anadhani hizo ni za bure? wanachama wako wake wanalipia the price!ajenge chama upya, kinahitaji restructuring, aache kulalamika tu kila issue!!
   
 3. K

  Kitoto Akisa Member

  #3
  Aug 3, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usimlaumu Hamad amesema kile anachokiona kinatokea Pemba, halahala to me this look like a timely bomb just waiting for the right time to erupt!
   
 4. S

  Shomvi Member

  #4
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  Nafikiri alichosema Hamad ni very sensitive. Tunahitaji uchunguzi na ikithibitika ni kweli basi watu wawajibishwe. Tunajenga utawala bora na rule of law lakini viongozi (wanasiasa) wanatuangusha.
   
 5. K

  Kilamia Member

  #5
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Viongozi wetu wa kisiasa ni mizigo i.e liabilities kwenye juhudi za kujenga demokrasia na maendeleo
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hiyo ndiyo siasa mkubwa!!!!!
   
 7. J

  Jamali New Member

  #7
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wachangiaje wengine wana based katika udini badala ya ukweli. matatizo ya uchaguzi yapo mpaka bara na ni njama za chama tawala katika maeneo ambayo hakiungwi mkono.
   
 8. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Tatizo SMT & SMZ hawana nia njema ya kufanya uchaguzi huru na haki ambao bila shaka wala wasi wasi ukifanyika CCM itashindwa na kupotelea mbali.
   
 9. C

  Calipso JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Safari hii, Ngoma itakavopigwa ndivo itakavochezwa.. Tusubiri
   
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Seif anashindwa kusoma zama za nyakati!

  Hayo hayo kila siku!

  Sii pesa yake ya staili ya Uwaziri Kiongozi mstaafu anapata?? sasa kelele za nini??
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  iam not clear sir
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Aug 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hiki Chama cha Wapemba kwa kulalamika hawajambo!
   
 13. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Bado hujajifunza kujadiliana kwa adabu???!!!
   
 14. M

  Mvutakamba Member

  #14
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Maalim ana point lakini amewa betray wana CUF , Maalim need to leave politics amwchie Juma Dunia .Anachosema ni kweli hata Bara kinatokea lakini Watanzania bila ya kujali dini ama Ubara nk nasema afadhali Mkapa alikuwa mtemi ana fanya mnaona kuliko JK anaye chochoea mambo kama kutangaza kwa nguvu washindi kuwa ni CCM wakati wameshindwa .JK hafai kabisa na anakaa kimya kuonyesha hayumo lakini always behind the move.
   
 15. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  kumbuka kuwa Kila muwamba Ngoma huvutia kwake .na kila mtu huliliya mama yangu na sio mama yetu,kama vile ilivyokuwa mambo ya waraka kuna waraka wa kanisa ambao wakiristo ndio wanaufurahia na ule wa kisilamu unafurahiwa na waisilamu .
   
 16. F

  Froida JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Napenda msemo wa ngoma inavyopigwa ndivyo itakavyochezwa na hilo ndio jibu wasirudi nyuma,serikali inapindisha sana sheria watatufikisha panaya bure
   
 17. F

  Falconer JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Hapa zanzibar, sehemu ambyo CCM wanaweza kushinda kihalali ni mkoa wa kusini basi. CCM hawashindi kabisa wala hawajashinda kura Zanzibar. Ilioko ni mapinduzi daima kama kawaida yao. Tangu vyama vingi vianze wanapindua matokeo kwasabau wao ndio wenye kutangaza matokeo ya kura. Kura zilizopitz, Amani alisema:- " hata kama watu wote wa visiwani hawatampigia kura, kura ya mkewe inatosha kumuingiza ikulu". Na kweli kabisa maana aliwaweka wapinzani under house arrest kwa muda wa wiki. Alipotangazwa kuwa raisi na UN walipoingilia kati ndipo alipowaachilia viongozi wa wazanzibari. Sasa kitu kinachoendelea zanzibar, nyinyi wabara si rahisi kufahamu.
   
 18. M

  Mkandara Verified User

  #18
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Haya maneno mkuu wangu.. CUF wanachotakiwa kufanya ni kuhakikisha wana mwakilishi kila kituo cha kupigia kura kuhakikisha uhalali wa mpiga kura iwe address au nyumba anayoishi na kikubwa zaidi wasilale wakati wa kuhesabu kura..LAZIMA vyama vyote viwe na mwakilishi anayetazama kura baada ya kura zikihesabiwa. Wizi wa CCM upo ktk kuhesabu kura chaguzi zote..
   
 19. C

  Chakarota Member

  #19
  Aug 4, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wizi wa CCM upo katika kutangaza matokeo ya kuhesabu kura si katika kuhesabu, kwani ilani ya ccm ni kua Zec tu ndio chombo halali kutangaza matokeo na their anouncement is final.( Mr.falkoner amekueleza kwamba waliwekwa wapinzani wote under house arrest kwa muda wa wiki mpaka matangazo na kukubalika kukamalizika) Haya Mr.Mkandara na kila mtu anayajua, CCM haina ubavu znz kupata hata 35% ya vote halal, wao (ccm) wana imani kua kuachia upinzani kuchukua sarikal ni kama mapinduzi mara ya pili na pia wanaona aibu kua nchi itanawiri na kujulikana, jambo ambalo hawalitaki.

  Kwani wewe unaamini kua ccm bara wanapata kweli 80% ? Nearly most of African countries bado hatuna wala hatuko tayari kwa really Democracy, imagine mtu akishika U-Sheha tu hataki kuuwachia, jee U-Raisi? Democracy is not something you dream at night and in the morning you implement, NO you have to start to teach Democrasy from schools, colleges and univesities then in the majukwaa ya mikutano isiokwisha. We are faaaar behind on that.
   
 20. N

  Ndivyo Ilivyo JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sivyo Hivyo ukweli ni kuwa Hapa Zanzibar sewhemu amabayo CUF inaweza kushinda ni Wilaya ya Micheweni, Wilaya ya Wete na Wilaya ya Chake. Wilaya ya Mkoani inagawana majimbo nusu kwa nusu na wapinzani wake. Unguja haiwezi kushinda katika Wilaya yoyote ya huko.
   
Loading...