B Baba Matatizo JF-Expert Member Joined May 5, 2011 Posts 334 Reaction score 64 Sep 5, 2011 #1 Maalim Seif ndani ya tabora...Nitazid kuwajuza nini kinaendelea.Muda si mrefu mkutano unaanza!
mzee wa mawe Senior Member Joined Aug 2, 2011 Posts 151 Reaction score 15 Sep 5, 2011 #2 tuambie mkutano ulikuwa na watu? na ameongelea nini?
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,446 Sep 5, 2011 #3 tuletee ni photo ya hiyo mijuha
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,658 Sep 5, 2011 #4 sijui ssa hapa wanapiga kampeni pamoja na SISIEM kwenye jukwaa 1?
J janja pwani Senior Member Joined Jul 27, 2011 Posts 104 Reaction score 9 Sep 5, 2011 #5 si mkuki si bunduki cuf hatubanduki. habari ndio hiyo.