Akihojiwa na VOA amesema watanzani wasipokuwa makini watajikuta chini ya utawala wa kiimla.
Amesema rais hataki kukosolewa, hataki kuambiwa anakosea jambo lolote anajiona sahihi kwa kila kitu na washauri wake amewatisha wanamshauri anachotaka kusikia.
Amesema mwanzo alianza vizuri na watu walimwani lakini sasa chumvi imezidi.
Amesema anapenda sifa akitolea mfano wa ukusanyaji kodi kwamba mwezi Mei mapato yalishuka mpaka wakaitwa wafanyabiashara kuikopesha serikali.