Maajabu yaliyotokea Chalinze!

sehemu zote zenye matatizo makubwa kama hayo uliyoyataja ndio mtaji wa ccm,ccm hawawezi kushinda sehemu zenye maendeleo na wasomi, ccm hushinda sehemu kama hizo zisizokuwa na wasomi na zenye maendeleo duni
 
Watu wa huko hayo yote hayawahusu! Ukipiga marufuku ngoma tu ndipo utakua umewagusa! Usiwaingilie kwenye utamaduni wao!
 
Wahafidhina tunawaambia kila siku badilisheni siasa zenu, na mara zote mnaona mapungufu ya wenzenu. Sasa oneni na yenu ili mbadilike, mnakosa mno wakati semeni mtafanya nini na mmefanya nini. Waambie wapiga kura kama mmeacha ukaskazini na kudumisha fikra za viongozi wenu. Fanyeni siasa tofauti wenzenu wanaenda kimya kimya nyie mnapayuka sana ndio maana mnakula za uso, muache kuwaiga viongozi wenu sauti kuweni real.
 
Kwa hiyo ina maana wewe umeona mabaya tu! mazuri yaliyofanyika hakuna hata moja??? na kama lipo japo moja mbona hujaandika au unataka kutuaminisha nini

mbona wewe hujatuwekea hayo unayosema ni mazuri ?
 
Kaka 86.6% (wa kishindo)itakuuma sana! Hayo mambo uliyoongea ungekwenda na Chopa ili watoto wakasikilize na wahsngae chopa,but for now its too late! RIP Chagadema!

hii ndiyo post ya kichovu sana !
 
hivi JK mwaka 2010 alipigia kura wapi maana jana kapiga kuza huko jimbo la chalinje 2010 alipigia kura dar auimekosea naulizo tu jamani
 

Yawezekana unayosema yakawa ya kweli. Lakini mmmh! Ebu turejee kwenye jiji la Salaam, mbona hali haishabiiani na hicho ulichosema au ndo hiyo kanuni haufanyi kazi kila sehemu.
 
Porojo hazitaisaidia CHADEMA kutoporomoka zaidi kisiasa,Jitathimini upya kama Taasisi na mkijenge upya Chama chenu.Msiwe kama yule Waziri wa Propaganda wa Iraq Ally Chemicals.Shauri yenu.

mkuu sio chemical ally yule wazir alekuwa msrmaji mkuu wa serikali ya irak wakati wa vita alikuea ni jeneral mohammed saeed al. sahhaf. daah mkuu umenikumbusha mbali sana na alsahaf wa chadema ni slaaa manenoo mengii ya uongo ila vitendo ziroo
 

Haya tulia basi , kesho nisikusikie unalalama hapa kwamba kwanini bandari inajengwa Bagamoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…