Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,641
Mkuu wewe utani unaujuahongereni watani mmejitahidi sana,huu mwaka mnenepe mfurahi ni mwaka huu tu misimu ijao mtaanza tena kusubiri meli kituo cha mwendo kasi.
Unaweza kwenda na laki moja night club unafanya mbwembwe kubwa watu wakakushangaa kuliko mwenye million mfukoniMayele anavyoimbwa utafikiri Mugalu hajawahi kufanya hivyo, hakika utopolo ni utopolo.
Kumpata mtu anaejua utani wa jadi kama wewe inachukua karne nyingihongereni watani mmejitahidi sana,huu mwaka mnenepe mfurahi ni mwaka huu tu misimu ijao mtaanza tena kusubiri meli kituo cha mwendo kasi.
tupe za Mugalu number hazidanganyiMayele anavyoimbwa utafikiri Mugalu hajawahi kufanya hivyo, hakika utopolo ni utopolo.
Mugalu aliisaidia Simba kuibuka na ushindi wa goli 4-0 katika mechi dhidi ya USGN, kwani alipachika mabao mawili, na kuifanya Simba itinge hatua ya robo fainali kwa mara nyingine katika michuano ya CAFtupe za Mugalu number hazidanganyi
Tuletee za Jwening GalaxyMbona rivers United hatuioni Kho Kho Kho
Teh teh teh kama inauma chomoaMayele anavyoimbwa utafikiri Mugalu hajawahi kufanya hivyo, hakika utopolo ni utopolo.
Na ile match ya Jwening Galaxy alifunga ngapi?Mugalu aliisaidia Simba kuibuka na ushindi wa goli 4-0 katika mechi dhidi ya USGN, kwani alipachika mabao mawili, na kuifanya Simba itinge hatua ya robo fainali kwa mara nyingine katika michuano ya CAF