Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
pamoja na lengo zuri walilonalo bado mwanaspoti wameonyesha mapungufu makubwa sana katika utoaji wa tuzo zao, haya ni baadhi ya mapungufu
1. mpaka sasa hakuna vigezo maalumu vilivyotumika kumpa Niyonzima uchezaji bora na kuwazidi Themi, Kiemba N.K.Niyonzima hakuwa mfungaji bora, hakuwa ni mtu aliyetoa assist nyingi, hakuwa ndo mchezaji mwenye nidhamu, hakuna kitu chochote special/ viable unachoweza kukitetea hadharani kwanini Niyonzima ni mchezaji bora
2. Mchezaji Joseph Kimwaga kapewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wakati msimu uliopita hakucheza mechi yeyote ya ushindani?? Sasa inakuwaje leo Joseph Kimwaga anakuwa mchezaji Bora Chipukizi??
Je alicheza michezo mingapi ya ligi na ya kiushindani??
Au wameangalia alipoifunga #Yanga tu basi ndio bora wakati wapo wengi tu waliocheza mcmu uliopita.
Ila bora kwang kwa upande wa Chipukizi ni Ramadhan Singano a.k.a Messi.
3.Kimechaguliwa Kikosi bora cha wachezaji 11 wa Ligi Kuu ya Vodacom(VPL) msimu uliopita lakini wachezaji Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaochezea TP Mazembe ya Congo wamejumuishwa ndani yake. hawa jamaa msimu uliopita walicheza timu gani ya Tanzania??
ushauri wangu: wanapochagua wachezaji bora wa ligi kuu, waache kutupumbaza na sms, kutegemea sms wachezaji kama Themi, Mwagane yeye itakuwa ngumu sana kwao kuchukua tuzo kwasababu wao hawapo simba au yanga zenye mashabiki wengi! jopo la makocha wa timu wanaoshiriki ligi kuu, wahariri wa magazeti ya michezo ndio washiriki katika kuchagua na viable criteria ziwe wazi kabisa
am sorry