Jamani acheni siasa jamani unajua hata nchi ambazo zinakuwa na barafu kama Urusi hapa kila kiangazi bara bara zinakarabatiwa kila mwaka kwa sababu barafu linasababisha bara bara kupasuka pasuka sana kwa hiyo barafu ikiisha layer yote ya juu wanaitoa na kuweka nyingine city centre kote ,so kwa hali hiyo ya ya maji msimlaumu magufuli na kuona kama viwango vya bara bara ni vibovu jaribuni kuanalia hata nchi zilizo endelea ndio ivyo ivyo lkn hamkatazwi kuongea kwani vingine hamjui.