Najitokeza kwenu wana jf kuuliza swali langu hivi:-
kwanini matairi yote duniani yanatengenezwa kwa kutumia rangi nyeusi?
Ukiangalia matairi ya gari,ndege,baiskeli n.k
Hv kwanini hayatengenezwi kwa rangi nyingine kama nyeupe,nyeusi,nyekundu n.k
Naombeni jibu jamani km yalishawahi kutengenezwa au la!