Maajabu ya nyota aina ya comets

Yani ulipoanza kuongelea matukio yaliyo tokea duniani kuhusanisha na hiyo nyota ndipo nimeona uongo,matukio yote hayo kasoro namba moja na la tsunam ambayo sina uhakika nayo.mengine yote ni ya kupangwa wanajaribu tu kutafuta uhusiano ambao hauna mashiko.
 

Mkuu jipange, hujui astronomy, hujui kutofautisha kati ya nyota na comet na pia nyota hazizunguki sayari kama ulivyosema japo kuhusu maajabu ya comets kama ulivyosema siwezi kukupinga kwakuwa sina ushahidi.

na supernova sio sayari, jitahidi kugoogle kabla ya kupost ilikupunguza sumu mkuu.
 

umekariri sayari tisa
.....??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…