Maajabu ya Nchi ya Iceland

CCM haipo huko?
 
Huo ni uongo nguvu kazi ni watu, ushuru kwa watu laki tatu then elimu umeme huduma za afya iwe bure na bado serikali ilipe wafanyakazi
Kuna Muiceland nimemuambia huku tuna madini ya kila aina na vivutio vya utalii vya kutosha pamoja na rasilimali za kufa Mmachame ila huduma za kijamii na elimu zote tunalipia. Huwezi amini amenijibu kama ulichoandika wewe hapo haiwezekani uwe na vitu vyote hivyo na bado unalipia kila kitu.
 
Ni wastaraabu sana na kuna kipindi Cha summer jua huwa halizami usiku na mchana ni mwanga tu
 
Usikute na wao wanatoa misaada na mikopo nafuu kwa nchi yenye watu 65m.
 
Huo ni uongo nguvu kazi ni watu, ushuru kwa watu laki tatu then elimu umeme huduma za afya iwe bure na bado serikali ilipe wafanyakazi
Ni kweli Iceland wanachimba mafuta. Revenue inayopatikana hapo ndo inatumika kwenye kutoa huduma bure.
Acha akili zwazwa siyo kila nchi inategemea kodi kuendesha shughuli zake. Usiwe na akili kama za mwigulu.
Hata sisi TZ tungeamua kuwa serious na rasilimali zetu tungefanikiwa sana tu kutoa baadhi ya huduma bure tatizo ni tamaa za watawala wetu wanataka kushiba wao kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…