Maajabu ya Nchi ya Iceland

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,987
Iceland ni Nchi ambayo ni Kisiwa kinachopatikana kaskazini mwa Dunia katikati ya Bahari mbili za Antarctic na Arctic. Mji wake Mkuu ni Reykjavik.

Nchi hii ina idadi ya watu wanaofikia 332,529 kwa takwimu za hivi Karibuni. Ni Nchi iliyokuwa koloni la Denmark Hadi tarehe 1/desemba/1918.

Nchi hii ina sifa adhimu zifuatazo:-

βœ“ Elimu na huduma za afya ni Bure.

βœ“ Hakuna magereza.

βœ“ Hakuna Jeshi. Ila ni mwanachama wa jumuiya za kijeshi za kimataifa kama NATO na OCSE

βœ“ Umeme ni Bure

βœ“ Watu Wala hawafungii magari ndani na hata nyumba zao Huwa hawalazimiki kuzifunga.

βœ“ Ndio Nchi pekee Duniani ambayo watu wake hupiga kura kwa mtandao (on-line).

 
Viongozi wanawatendea haki wananchi sio huku kwetu Afrika kumekuwa kama jehanamu, viongozi wanawalundikia mzigo wa kodi halafu wao wanaishi kama wapo peponi! Uwa nashangaa sana hata wanapokufa tunawaombea eti wakapumzike kwa amani wakati enzi ya uhai wao wametesa sana watu!
 
🀣🀣🀣 huku kwetu unaenda Kwa fund welding kutengeneza dirisha huku unamuwazia mwizi. Hata ishu za fire safety inakuwa changamoto coz dirisha lenyewe hata uwe na shoka moto ukiwaka unafia ndani ilivyo ngumu kulivunja ukiwa ndani
 
Huo ni uongo nguvu kazi ni watu, ushuru kwa watu laki tatu then elimu umeme huduma za afya iwe bure na bado serikali ilipe wafanyakazi
 
Hata Dubai kwa IDDY S MHANDO napo huwa hawafungi milango ya nyumba au kuondoa funguo ndani ya magari
 
inafsi sijawahi kuombea viongozi wa africa isee kuwaombea tu enyewe unaweza kupata dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…