Maajabu ya Magufuli

vichwa maji wengi kweli, hivi na wewe unaamini kuwa aliposema hivyo alikuwa anamaanisha KIUKWELI kabisa kuwa ndo idadi kamili ya samaki waliopo??
 

Jee viwanda vilivyopo Mwanza?
 
kujua kuna dagaa bilioni ni kazi ya afisa uvuvi wa kata lakin kazi ya waziri ni kujua hawa bilioni watabalilisha vipi maisha ya raia wanaokula ugali chunvi wakati dagaa bilioni wanaliwa ulaya.

ukiona mtu anajificha kwenye kichaka cha takwimu ni ishara ya ombe la mipango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…