Maajabu ya Kilimanjaro Fast Food

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Nimepita hapa mgahawa wa Kilimanjaro Fast Food uliopo katikati ya Mombo na Korogwe nimejionea mambo tofauti. Kwanza msosi wao ni mzuri una hadhi na unaendana na hela unayolipa.

Pili, wahudumu wa hapa ni balaa ni wakarimu na wachangamfu, watoto ni wakali balaa halafu mbaya zaidi wana mikia ya hatari.
Yaani kila Mhudumu unamkuta ana INYE ya hatari mno wakanikumbusha Arusha Night Park ( Matak
Bar ).

Nikirudi kutoka ninakoenda nitapita hapo nichukue hata namba ya mmoja ikiwezekana niwarushie na picha maana Fahari ya Macho haifilisi Duka.
 
Hakika. Japo siwatetei, lakini wanajitahidi mno.

Kuna wale wapinzani wao kibiashara, wakatuja na kuanza kupinga kuwa bei ipo juu. Sasa si waende katika hotel nyinginezo kama Liverpool?
 
Mmmh, mkuu, Kilimanjaro iko poa, sina ubia na mmiliki na wala sio mjomba wangu achilia mbali urafiki, yaani pale unajazwa kiwango kilekile ulichojaza, pale pengine na pale pengine wamekwisha, hawana jipya, hawana kauli nzuri na sio wasafi. Kilimanjaro fast food, the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…