Maajabu ya Kilimanjaro Fast Food

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,852
5,861
Nimepita hapa mgahawa wa Kilimanjaro Fast Food uliopo katikati ya Mombo na Korogwe nimejionea mambo tofauti. Kwanza msosi wao ni mzuri una hadhi na unaendana na hela unayolipa.

Pili, wahudumu wa hapa ni balaa ni wakarimu na wachangamfu, watoto ni wakali balaa halafu mbaya zaidi wana mikia ya hatari.
Yaani kila Mhudumu unamkuta ana INYE ya hatari mno wakanikumbusha Arusha Night Park ( Matak Bar ).

Nikirudi kutoka ninakoenda nitapita hapo nichukue hata namba ya mmoja ikiwezekana niwarushie na picha maana Fahari ya Macho haifilisi Duka.
 
Hakika. Japo siwatetei, lakini wanajitahidi mno.

Kuna wale wapinzani wao kibiashara, wakatuja na kuanza kupinga kuwa bei ipo juu. Sasa si waende katika hotel nyinginezo kama Liverpool?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom