Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,108
- 34,933
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em muwage na huruma bs ktk kushaur dahhh! Iv kwel ushaur kam huu c mnamvunja moyo mtoa mada?... Mana uenda yy mvua ndo imemnyeaaa dahhInategemea mgonjwa ana upungufu kiasi gani
Battery ikiisha charge inaweza kuchajiwa ila ikifa hauwezi kuicharge
Uimala wa misuli na ubongo unahitaji matibabu ya aina gani mkuuPunyeto huathiri ubongo (Psychological disturbance) na pia hulegeza mishipa ya ile kitu
So ktk treatment jaribu matibabu ya aina hzo mbili......
Kwa maana ya kwamba karanga zitasaidia lakin uimara wa misuli na ubongo utahitaji matitabu zaidi
Charge ipo kiasi shida round 1 inawahi kuisha na inakawia kidogo ila round 2 si haba inaweza fika dk15-20.Inategemea mgonjwa ana upungufu kiasi gani
Battery ikiisha charge inaweza kuchajiwa ila ikifa hauwezi kuicharge
Tatizo la low sperm count nalo husababisha udhaifu katika kusimamisha.Nilifanya vipimo hospital wakaona shida ni low sperm countWakuu mbona nasikia karanga ni za kuongeza idadi ya shahawa (Sperms) tu na sio kuongeza nguvu za kiume ....Hii imekaaje?
Anhaa lakini karanga zinasaidia kuongeza maniiTatizo la low sperm count nalo husababisha udhaifu katika kusimamisha.Nilifanya vipimo hospital wakaona shida ni low sperm count
Nashukuru najitahidi kufanyaFanya mazoezi mkuu. Haya mambo hayana konakona.
MziziMkavu njoo utoe tiba huku, Kijana mashine ipo legelegeUimala wa misuli na ubongo unahitaji matibabu ya aina gani mkuu