Maajabu ya CCM na serikali yake:Eti Chenge kumuandalia Magufuli ripoti ya kummaliza Lowassa!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,387
20160305_042717.jpg
 
Chenge na makamba wote ni wanafiki wanaangalia fursa sasa hivi lazima chenge ajipendekeze kwa magufuli kwani bado hajaja kutumbua majipu ya chama
 
"Brain evolution" Afrika bado haijafikia katika hatua nzuri!Tuwe wavumilivu
 
Ahahahahahaaaaaaaaa!!!!! Eheheheheheeeeeee!!!!! Aisee hii Nchi imejaa vituko kwa kweli
 
Hahahaha...raha sana kusikia Kaka jambazi anatayarisha ripoti ya kumshitaki kaka Kaka mwokovu
 
Kama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
 
Back
Top Bottom