eh kilimanjaro imefanikiwa kuingia
safi at least watu hawajapoteza nguvu bure
Mbona umelist maajabu sita tu mkuu, hilo ajabu la saba ni lipi?Mtangazo ya kutangaza Maajabu saba ya asilia barani Afrika (The declaration ceremony of Seven Natural Wonders of Africa), yanaendelea kutangazwa moja kwa moja kutoka Jijini Arusha: baadhi ya vivutio saba kuwa vimepata kura nyingi ni vya Tanzania, ikiwemo mbuga ya Serengeti, mlima Kilimanjaro na Ngorongoro Crater. Mgeni rasmi katika sherehe za kutangaza maajabu saba barani Afrika ni Waziri Mkuu Mh. Pinda.
Na vivutio baadhi vilivyotajwa kuwa kwenye maajabu saba ni;
- Mlima Kilimanjaro
- Victoria Fall
- River Nile
- Ngorongoro Crater
- Jangwa la Sahara
- Serengeti National Park
Source by: TBC (live broadcasting)
hii habari inaonesha sasa kinana mtaalamu wa tembo amefurahishwa kupata exposer .atauzaje?
Wangweka na ya nane Nina uwakika watanzania wangeshinda kwa kuwa ajabu kuliko ajabu yenyeweMtangazo ya kutangaza Maajabu saba ya asilia barani Afrika (The declaration ceremony of Seven Natural Wonders of Africa), yanaendelea kutangazwa moja kwa moja kutoka Jijini Arusha: baadhi ya vivutio saba kuwa vimepata kura nyingi ni vya Tanzania, ikiwemo mbuga ya Serengeti, mlima Kilimanjaro na Ngorongoro Crater. Mgeni rasmi katika sherehe za kutangaza maajabu saba barani Afrika ni Waziri Mkuu Mh. Pinda.
Na vivutio baadhi vilivyotajwa kuwa kwenye maajabu saba ni;
- Mlima Kilimanjaro
- Victoria Fall
- River Nile
- Ngorongoro Crater
- Jangwa la Sahara
- Serengeti National Park
Source by: TBC (live broadcasting)
Wangweka na ya nane Nina uwakika watanzania wangeshinda kwa kuwa ajabu kuliko ajabu yenyewe
Bahari ya shamu inamaajabu gani?Moja ya maajabu saba ni Red Sea (Bahari ya Shamu)
Ni kweli, nguvu yetu ya kupiga kura imeleta mafanikio kwa nchi yetu Tanzania. Kumbuka kuw tuna vivutio vyingi sana, kama Wizara ya Utalii ikiongeza nguvu katika kuitangaza Tanzania kimataifa tunaweza kuwa kwenye nchi zenye vivutio vizuri sana Ulimwenguni.