Maajabu mengine haya......

mansolata

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
502
Reaction score
319
Huu ni msimu wa nne mfululizo wa zao la korosho kunikutia Mtwara.....

Mambo yamebadilika sana....zile mishe mishe za kibiashara nilizo zizoea hazipo tena.....

Maisha ni magumu mno kwenye haka kamji ....
Hata daladala nizakuhesabu
Ukiweza ishi Mtwara mikindani....utaweza ishi popote Tz hiii;


Wanamtwara mnijuze nini chanzo cha mdororo wa biashara
 
Wanajeshi wanaonekana onekana mabarabarani kwa wingi? Kama ndiyo basi tulia! Biashara inaendelea!
 
Tukimaliza kukagua Korosho halali,maisha yatarudi vzr kama zamani.
 
Serikali Bado inafanya uhakiki ipi korosho halali ipi sio halali mtalipwa
 


Hii nchii hii bora kuwa mtumwa kwenye magereza ya ulaya kuliko kuwa mzelendo wa !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…