Kwa hali hii tunaweza kusema Mh'. Zitto anafanya ishu ya No reform no election kwa kutengeneza mazingira ya wagombea wake waenguliwe akiwa analijua hilo?
Ndio ni project yao CCM, na wamemkata ili ku-prove wrong maneno ya HP kuwa ACT ni CCM B kwahiyo watanzania wengi wenye upeo mdogo watawaza kama ulivyowaza wewe.
CCM kwenye siasa wanatumia akili kubwa sana bro, ndio maana inaendelea kushika Dola kwasababu watanzania wengi hawajui hila za kisiasa zinavyofanywa.