'Maajabu' ...from G string to 'C' String

Wanawake kazi mnayo, inavyoonekana hiyo chupi ina chuma au bati linalowezesha kubana. Hofu yangu isije leta matatizo ya magonjwa ya ajabu ajabu mbunyeni
huenda hata wanaume kuna mambo tunayaiga kwa miaka ya karibuni bila kujua kiasi kwamba unashindwa kuelewa ni kwa nini tunaishi, usijekuta bai ya hicho 'kibakuli' inazidi karo ya msimu mmoja wa mwanafunzi!

Mara nyingi wanaume wanaonunulia wanawake hiyo makitu ni wale wa michepuko, mke wa mtu anayejitambua hawezi kuyumbishwa na kila fasheni inayotoka hasa hizo za ajabu ajabu....
 
Dah iko siku mboga itakuwa haikai tena kwenye bakuli itakuwa inakaa kwenye meza peupe
 
Wala sio kazi, itazoeleka tu itaonekana ni ya kawaida halafu itakuja ingine hiyo itakua ishapitwa na fashion. lol
lol, hapo mkuu umeniacha hoi. Unataka kusema siku za mbeleni viwanda vya nguo huenda vikahitaji materials kidogo sana kutengeneza bidhaa zao!?
 
lol, hapo mkuu umeniacha hoi. Unataka kusema siku za mbeleni viwanda vya nguo huenda vikahitaji materials kidogo sana kutengeneza bidhaa zao!?

kabisa mkuu, mbona hilo linafahamika. turudi nyuma enzi za miaka ya 60, mwanamke akivaa suruali anaonekana mhuni, ila siku hizo hilo vazi ni la kiistaarabu, miaka ya 90 ukivaa kimini unaonekana kicheche hilo vazi unawaona club to lakini siku hizi ni jambo la kawaida kabisa kwenye mitaa. hata nguo ya ndani zamani inafunika kiungo chote hakionekani, ila sikuhizi kiungo ndo kinaficha nguo ya ndani. itafika kipindi nguo zitakua hazina thamani tutarudi enzi hizoooooooo full kujiachia mtaani kila kitu in display, wala sio miaka mingi mkuu, we si unaona nchi za wazungu ndo wameanza, lol.
 
Dah iko siku mboga itakuwa haikai tena kwenye bakuli itakuwa inakaa kwenye meza peupe

Mbona hii ishafikiwa?wale wanaokwenda nehi.....wenyewe wanaita "go commando"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…