Maajabu Azam tv

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Nimenunua dish la Azam kwa mtu, nimejaribu kufunga lakini limekataa kbs kushika upande yalipo elekea madish mengine ya Azam. Nikajaribu kulielekeza uelekeo wa madish ya DSTV imeshika, sasa nahitaji kujua fta channels zilizopo ktk upande huo na jinsi ya kuziadd, pia nahitaji kufahamu ikiwa kunamadhara yoyote yatakayo tokea kwa kulifunga ktk mwelekeo tofauti.
 
Mkuu kama dish limeelekea uelekeo wa madishi ya dstv basi umeula,muda si mrefu utaanza kuona supersports.
 
azam ipo chini sana inabidi mbele kusiwe na kizuizi hio dstv ipo juu yake ndio maana imeshika.

why usishuke chini kidogo utafute angalau continental? na sina uhakika kama hio decoder ya azam inaonesha bila kadi
 
Dah, mi cna utaalam kabisa na haya madubwasha, naweza kupata hizo za continental kupitia decoder ya Azam?
Morning star tv inashika?
 
Dah, mi cna utaalam kabisa na haya madubwasha, naweza kupata hizo za continental kupitia decoder ya Azam?
Morning star tv inashika?

azam ipo nyuzi 7E na hio uliopata kama sjakosea ipo nyuzi 35E na continental ni around 20E hivyo continental ipo kati ya azam na dstv. kuhusu kuipata na azam nafkiri utaipata ila sina uhakika kama utaendelea kuona kama kifurushi cha azam kikiisha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…