Maafsa uajiri (hrs) ushauri wenu pls:

Hii issue naona haijakaa vizuri. Kama dada yako ameona Jamaa ana nia tofauti, nadhani wewe na Dada yako muachane na huyo Jamaa pamoja na kazi yake.

Issue ya kusema mwende Takukuru, au mfatilie hiyo kazi bila huyo mhusika, sidhani kama mtafanikiwa. Kuna binadamu na wanyama, hatujui kwenye moyo wake yeye ni nani Kati ya hao wawili.

Sijui wewe na dada yako huwa mnaongea vitu gani, ila issue kama hii lazima dada yako aliover see mapema.

Kumbuka kazi anatoa Mungu na anakupa sehemu sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dada yangu alinieleza kuwa uyo jamaa anaonekana hana nia nzuri kwake ya kunisaidia mimi, kwaiyo niachane nae kabisa

Jamaa akanipigia simu asubuhi ya leo akasema kuwa kuhusu mimi kupata kazi ameshaghairi na ameshampigia HR simu ambae ni dada yake ameshamwambia basi

Kwaiyo dada yangu ndio anafanya mimi nisipate kazi (jamaa anavyodai)

Baada ya maelezo ya dada yangu, ndio akili ikaaza kunituma kuangalia kama mkataba ni original maana kwa harakaharaka ukisoma kuanzia juu mpaka chini mkataba unaonekana ni original and no doubt

Kuwa baadhi ya waliotoa comments hapa nimewatumia (pm) wanaweza kuwa washuhuda kwenye huo mkataba hapa kwenye comments

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimeuona huo mkataba... Aisee ukiingia kichwa kichwa na kama huna experience na hizi ishu za mikataba ya ajira lazima uingie kingi!!
Kwa haraka haraka looks real; Ila ukiingia kwenye details na ukiwa mzoefu ndo unagundua kuwa huo mkataba ni wa uongo, ni bonge la famba!!
Jamaa lazima atakua ameshawala wadada wengi kwa hiyo trick, na nahisi atakua ni mtu ambae ana nafasi kubwa na/au exposure ya kutosha... Maana kufoji kitu cha aina ile sio kitu kidogo aisee...
Watu wa aina yake hawafai kabisa kwenye jamii kwa kweli!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu, pambana kutafuta kazi bila kumtumia Dada, chuo usome we we kazi atafute Dada?, 99% maafisa ajira (Hrs), wa kiume hutoa ajira baada ya mzigo. Ama pesa au papuchi. HR wengi wa kike ndio huzingatia maadili ya kazi. Upangaji wa vituo vya kazi kwa manesi na walimi ktk awamu ya NNE wadada waliliwa sana. Tumia www.ajira.go.tz kutafuta ajira halali serikali ni, huko ni ujuzi wako tu hakuna papuchi. Tumia zoom Tanzania kwa sekta binafsi. Pole sana kwa mkasa huo ila achana na huo mkataba, achana na Takukuru, tafuta kaz maana mtego wa takukuru unawezamponza Dada, akatoa mzigo na HR asikamatwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…