wanasemaga ajali haina kinga lakini mi pale mbele kukaa ni marufuku unakuta dereva anaendesha mkono mmoja uko nje umeshika sigara kama ukiwa dereva ndo kabisa unatamani umshushe uendeshe wewems mjini kwenda rombo kama we unajua kuendesha unafika huku mguu unauma kwa kushika break jinsi noa zinavyokimbizwa.
Hv kinachosubiriwa ni ajali ili iundwe tume na litolewe tamko la kupiga marufuku usafiri huu wa abiria ni wapi kilitolewa kibali gari hizi zibebe abiria!!leo nimeahirisha safari baada ya kukosa bus nikapelekwa kwenye noah yaani kilichonitisha abiria wamepangwa kama nyanya dereva kabwamdogo kako bwaksi nikajiuliza nawahi wapi bora nibaki tu maafa makubwa yaja ktk usafiRi huu wa NOAH!!
Wapi huko wakuu...
...Hata huku kwetu kuanzia Kahama, Masumbwe, Runzewe Ushirombo kuelekea Benaco - Rusumo border Noah zinatambaa kama mvua na wasukuma walivyo ma-zero ukileta Hiace hapandi wanataka Noah...Mwana uko rombo nini? maana huo ndo usafiri wetu 2 and 4rm moshi.
ni ujinga wako tu kwa nini ulipanda?
Wapi huko.
noah ndo zile gari zilizofanana na kitimoto au?