Maabara za hospitali

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,486
Reaction score
44,265
Tafadhali kwa mdau yeyote mwenye ufahamu wa hii biashara ya kupima magonjwa mbalimbali tuwasiliane au aweza kutoa elimu hapa ili itusaidie wote kukamata fursa.
Shukrani
 
Tafadhali kwa mdau yeyote mwenye ufahamu wa hii biashara ya kupima magonjwa mbalimbali tuwasiliane au aweza kutoa elimu hapa ili itusaidie wote kukamata fursa.
Shukrani
Wewe ni mtaalamu wa maabara?
 
Mimi sio mtaalamu wa maabara. Ni mjasiriamali nataka niwekeze huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…