Maabara ya Afya inauzwa

mussa m roman

Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
22
Reaction score
5
Habari,
Maabara ya Afya inauzwa .

Imekamilika kila kitu na tayari ina kodi ya miaka 6. Sio miezi ni miaka.

Location: DSM

Ipo SAKU- CHAMAZI
Ipo stand kabisa ukiangalia picha vizur utaona, haina changamoto yoyote. Anaeuza ni kwa ajili ya kitatua shida zake.

Kwa mwenye uhitaji
0652005254
0621451621
 
Ukiangalia Picha vizuri utaona haina changamoto yoyote
 
Picha kali sana.
Mbona bei kubwa kama hospital?
 
Ndugu dalali acha haraka weka tangazo lililokamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…