Habarini za wakati huu
Mimi ni kijana wa Kitanzania
Natafuta kazi yoyote halali
Nina ujuzi na uzoefu wa kutumia komputer
Upande wa Microsoft software na outlooks
Musaada wenu
Rekebisha kwanza hiyo heading yako andika vizuri hilo neno msaada la sivyo wengi hata kuingia kutaka kujua umeandika nini ili wakusaidie hawataingia kwa kukosea tu hapo kwenye heading