T the guy here i am Member Joined Nov 11, 2018 Posts 81 Reaction score 32 Nov 11, 2018 #1 Nimeona I kitu kwenye kazi za tanapa kuhusu uo mshahala wa tan 01 ni kiasi gani cha pesa iko
agprogrammer JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 468 Reaction score 362 Nov 11, 2018 #2 wambura97 said: Nimeona I kitu kwenye kazi za tanapa kuhusu uo mshahala wa tan 01 ni kiasi gani cha pesa iko Click to expand... Mkuu we umewealza ku apply ?
wambura97 said: Nimeona I kitu kwenye kazi za tanapa kuhusu uo mshahala wa tan 01 ni kiasi gani cha pesa iko Click to expand... Mkuu we umewealza ku apply ?
faru john junior JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 1,592 Reaction score 1,725 Nov 11, 2018 #3 agprogrammer said: Mkuu we umewealza ku apply ? Click to expand... Utasikia niliona salary ndgo ndo maana nimeacha kumbe process zimemtoa nje ya reli
agprogrammer said: Mkuu we umewealza ku apply ? Click to expand... Utasikia niliona salary ndgo ndo maana nimeacha kumbe process zimemtoa nje ya reli
agprogrammer JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 468 Reaction score 362 Nov 11, 2018 #4 Hahaha ngoja tuone faru john junior said: Utasikia niliona salary ndgo ndo maana nimeacha kumbe process zimemtoa nje ya reli Click to expand...
Hahaha ngoja tuone faru john junior said: Utasikia niliona salary ndgo ndo maana nimeacha kumbe process zimemtoa nje ya reli Click to expand...
Eidj5 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 504 Reaction score 419 Nov 11, 2018 #5 Dogo Kazi hujapata bado unaulizia mshahara,Kapambane kwanza habari ya mshahara utaijua iwapo utavuka vigingi vyote kwenye usaili.
Dogo Kazi hujapata bado unaulizia mshahara,Kapambane kwanza habari ya mshahara utaijua iwapo utavuka vigingi vyote kwenye usaili.
Manjeta JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 393 Reaction score 239 Nov 13, 2018 #6 wambura97 said: Nimeona I kitu kwenye kazi za tanapa kuhusu uo mshahala wa tan 01 ni kiasi gani cha pesa iko Click to expand... Wakikujibu nitag
wambura97 said: Nimeona I kitu kwenye kazi za tanapa kuhusu uo mshahala wa tan 01 ni kiasi gani cha pesa iko Click to expand... Wakikujibu nitag
Bonde la Baraka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 4,580 Reaction score 7,955 Nov 18, 2018 #7 We omba kazi kwanza. Kuna vi overtime vya nguvu. Night patrol, wakati mwingine mwez mmoja unachukuliwa na hotel kwaajl ya escort wanakulipa posho kama kg 600 hivi kwa tn 01. Madili ya faru Asha n.k. Lazma ujenge na ununue gar ya kisasa
We omba kazi kwanza. Kuna vi overtime vya nguvu. Night patrol, wakati mwingine mwez mmoja unachukuliwa na hotel kwaajl ya escort wanakulipa posho kama kg 600 hivi kwa tn 01. Madili ya faru Asha n.k. Lazma ujenge na ununue gar ya kisasa
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Nov 18, 2018 #8 Watu kwny kazi hawategemei mshahara
N nicodemus001 New Member Joined Jan 25, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Jan 31, 2020 #9 Naomba anaefaham maswala ya interview kuhusu hiyo wildlife management and law enforcement wanapenda kuuliza maswali gani naomben msaada?
Naomba anaefaham maswala ya interview kuhusu hiyo wildlife management and law enforcement wanapenda kuuliza maswali gani naomben msaada?
black short JF-Expert Member Joined Nov 16, 2019 Posts 519 Reaction score 981 Jan 31, 2020 #10 nicodemus001 said: Naomba anaefaham maswala ya interview kuhusu hiyo wildlife management and law enforcement wanapenda kuuliza maswali gani naomben msaada? Click to expand... Hata shortlist ya majina ya usaili bado haijatoka punguza kasi basi. Halafu mbona umetumia ID mpya?
nicodemus001 said: Naomba anaefaham maswala ya interview kuhusu hiyo wildlife management and law enforcement wanapenda kuuliza maswali gani naomben msaada? Click to expand... Hata shortlist ya majina ya usaili bado haijatoka punguza kasi basi. Halafu mbona umetumia ID mpya?