Ma-celeb wanaumia wanapoachwa?

kuumia hakuangalii super staa
 
Mapenzi ni involuntary action humuoni breezy alivyokuwa obsessed na karrueche Dada hamtaki mshikaji mpk kesho anamtani yule binti!
Siyo kwamba alinidata kwa rihanna zaidi kuliko karrueche?
 
Sasa huu undugu mbona mtafutano, sent ni mwanangu, wewe bibi yangu, alafu tena sent binamu yako[emoji134] [emoji134]

kui mtoto wa mjomba wangu(ila anataka niwe wifi yake)


Hehehe!, hii Kali kuliko. Huyo@genivores alie tu, mie nta make sure unakuja usukumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…