vunjajungu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 576
- 246
kwani mkuu mkutano gani polis walishambuliwa?Twaomba mikutano isitumike kuwashambualia polisi, isije ikatokea kama ya Marehemu Mwangosi
Mkuu unamaanisha waandishi wa habari ndiyo waliomuua Mwangosi?kweli umeamua kujivua ufahamu!Twaomba mikutano isitumike kuwashambualia polisi, isije ikatokea kama ya Marehemu Mwangosi
Mkuu unamaanisha waandishi wa habari ndiyo waliomuua Mwangosi?kweli umeamua kujivua ufahamu!
Mafilili kaandika as if amekalia kitu tofauti na kiti but kina ncha japo butu!
ha ha haa..ningekua Mafilili ningejitoa JF milele..Mafilili kaandika as if amekalia kitu tofauti na kiti but kina ncha japo butu!