M4C-OPD ndani ya Dodoma - Jan 27, 2014

katika jimbo la Kigoma Kaskazini.

1. 2000 walikuwapo madiwani 11.
2. 2005 walipungua na kubakia sita(6)
3. 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili(2)

My take
Kama hii hali ingefumbiwa Macho, 2015 Kungekuwa na Madiwani Sifuri Kabisa na hata Jimbo kulipoteza.

M4C - OPD Ndio Talk of the Town (Habari ya Mujini) Kwa Sasa
 
umenifuraisha ulivyounda heading yako to capture the attention of buku 7.sipati picha magamba walivyo ikimbilia kichwa kichwa thread hii.nice one mleta mada.
 
hata mmwage vipi hiyo sumu haitamuua zitto.

Wanachofanya Viongozi wa CHADEMA kina tofauti gani na FIESTA ya Clouds?

Hapo naona unaenda kinyumenyume FIESTA ni pale mkutano unapokuwa na watu kama DIAMOND, TMK, DOKII, MARLAW na wasanii wengine wa bongo Flava na hili ufanywa na CCM, kwani katika mikutano ya CCM bila wasanii na wali watu huwa hawaji.
 
Huon aibu na kikofia chako hicho cha kijan wenzako wanatembelea mi vx. We mwaka wa 40 bado unavaa kofia za kupewa

Njoo nikuajiri kwangu, kazi ya kuogesha mbwa ili uepuke hii aibu ya kushinda mtandaoni kutetea usichokiamini.
 
umenifuraisha ulivyounda heading yako to capture the attention of buku 7.sipati picha magamba walivyo ikimbilia kichwa kichwa thread hii.nice one mleta mada.
Mkuu,imekula kwao.
 
Hapo naona unaenda kinyumenyume FIESTA ni pale mkutano unapokuwa na watu kama DIAMOND, TMK, DOKII, MARLAW na wasanii wengine wa bongo Flava na hili ufanywa na CCM, kwani katika mikutano ya CCM bila wasanii na wali watu huwa hawaji.

umeisahau TOT mkuu,ingawa siku hizi imekufa! ccm ina laana ya wazee wastaafu wa EAC na damu za wadanganyika waliouawa na mipoliccm!
 
Njoo nikuajiri kwangu, kazi ya kuogesha mbwa ili uepuke hii aibu ya kushinda mtandaoni kutetea usichokiamini.

kwa hizo buk 7 unaweza kumwajiri nani wewe kalumekenge? sh...nz taipu!
 
Umekaririshwa kuwa kila aliye hasi na mitazamo yako analipwa buku saba, mimi sina njaa kama nyie wafata mikumbo. Nimeajiri vijana wengi kwenye kampuni yangu na ninawalipa mishahara minono maradufu ya unacholipwa wewe kwenye kutetea uzandiki!
 
Weeeee eti nawe uwe na kampuni labda uqe mavi uajili nzii mwenyewe unategemea nuku7 ndo mkeo na watoto waende chooo kutwa kushinda mtandaoni
Umekaririshwa kuwa kila aliye hasi na mitazamo yako analipwa buku saba, mimi sina njaa kama nyie wafata mikumbo. Nimeajiri vijana wengi kwenye kampuni yangu na ninawalipa mishahara minono maradufu ya unacholipwa wewe kwenye kutetea uzandiki!
 
Umekaririshwa kuwa kila aliye hasi na mitazamo yako analipwa buku saba, mimi sina njaa kama nyie wafata mikumbo. Nimeajiri vijana wengi kwenye kampuni yangu na ninawalipa mishahara minono maradufu ya unacholipwa wewe kwenye kutetea uzandiki!

familia chache zenye nguvu kifedha zinazo imiliki CCM,si wazazi wala watoto wao wanapoteza mda wao kuitetea CCM 24/7 hapa jf.wewe ni mmoja kati ya mamia ya vijakazi mliopewa
"kibarua" cha kuwajibia hoja zao kwa ujira wa buku7 ili ule na wanao.
 
Umekaririshwa kuwa kila aliye hasi na mitazamo yako analipwa buku saba, mimi sina njaa kama nyie wafata mikumbo. Nimeajiri vijana wengi kwenye kampuni yangu na ninawalipa mishahara minono maradufu ya unacholipwa wewe kwenye kutetea uzandiki!
Nimekuelewa vizuri, hapa tanzania wanaounga mkono ccm ni walio madarakani au wanaofaidi mfumo wa kifisadi uliopo serikalini kwa sasa
 
Umekaririshwa kuwa kila aliye hasi na mitazamo yako analipwa buku saba, mimi sina njaa kama nyie wafata mikumbo. Nimeajiri vijana wengi kwenye kampuni yangu na ninawalipa mishahara minono maradufu ya unacholipwa wewe kwenye kutetea uzandiki!

Ungekua na kqmpun ungevaa kofia ya kupewa na chama
 
chadema tumaini la Watanzania walio teswa na maccm kwa nusu karne sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…