M4C ..Makamanda wameanza zamani!

Kwa hiyo Chadema wameiga CCM tumekuelewa.Chadema hawana kipya wao kuiga tu
 
kwa hiyo wamekopi na kupesiti.......

Hakuna jambo jipya duniani mzee, Musa alikomboa watu akaja Yesu nae akakomboa watu, kina Nyerere nao wakakomboa watu, CHADEMA inakomboa watu.......upo!
 
Duh! Kumbe dalili hii ilionekana mapema tu? Hakuna kulala mpaka kieleweke!

Hongera Chama cha Demokrasia na Maendeleo!

CCM waliyatupa MAGWANDA Chadema ikayachukua sasa kazi wanayo CCM! Haya ndo mavazi yaliyomtupa mkoloni nje tanganyika na kusini mwa jangwa la sahara!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…