K kakamukubwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 203 Reaction score 27 Sep 16, 2012 #1 juzi nimeona Gari ya makamanda Dodoma hapa,Sijapata Ratiba ya mikutano Dom hapo ambayo itawasambaratisha Magreen Aple mbaya..
juzi nimeona Gari ya makamanda Dodoma hapa,Sijapata Ratiba ya mikutano Dom hapo ambayo itawasambaratisha Magreen Aple mbaya..
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,068 Reaction score 5,559 Sep 16, 2012 #2 Nani asambaratishwe na hako kaupuuzi ka M4C? Chezeya CCM wewe. Wasiosoma ni chakula ya wasomi.
C chigwiye JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 352 Reaction score 59 Sep 16, 2012 #3 Barnabas Shadrack said: Nani asambaratishwe na hako kaupuuzi ka M4C? Chezeya CCM wewe. Wasiosoma ni chakula ya wasomi. Click to expand... Trust me, M4C Dodoma itafunika kuliko ambavyo imetokea sehemu nyingine, usidhani ni wajinga tumei spare - Dodoma.Tunamaana yetu na hakika ndiko litatokea anguko rasmi la CCM.Subiri, uwe na subira omba mungu akupe uhai walau wa miezi mi4 tu.
Barnabas Shadrack said: Nani asambaratishwe na hako kaupuuzi ka M4C? Chezeya CCM wewe. Wasiosoma ni chakula ya wasomi. Click to expand... Trust me, M4C Dodoma itafunika kuliko ambavyo imetokea sehemu nyingine, usidhani ni wajinga tumei spare - Dodoma.Tunamaana yetu na hakika ndiko litatokea anguko rasmi la CCM.Subiri, uwe na subira omba mungu akupe uhai walau wa miezi mi4 tu.
M michaeljuma1986 Member Joined Mar 25, 2012 Posts 38 Reaction score 12 Sep 16, 2012 #4 Karibuni dom tunawasubili sana tuimalize ccm
K kakamukubwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 203 Reaction score 27 Sep 16, 2012 Thread starter #5 Barnabas Shadrack said: Nani asambaratishwe na hako kaupuuzi ka M4C? Chezeya CCM wewe. Wasiosoma ni chakula ya wasomi. Click to expand... Na wewe upo Kwenye L30.U
Barnabas Shadrack said: Nani asambaratishwe na hako kaupuuzi ka M4C? Chezeya CCM wewe. Wasiosoma ni chakula ya wasomi. Click to expand... Na wewe upo Kwenye L30.U
fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 884 Sep 16, 2012 #6 Barnabas Shadrack said: Nani asambaratishwe na hako kaupuuzi ka M4C? Chezeya CCM wewe. Wasiosoma ni chakula ya wasomi. Click to expand... ccm mtaji wake ni wajinga waciojua lolote lakin m4c ni darasa na wanapona ujinga na wanakimbia ccmabwepande
Barnabas Shadrack said: Nani asambaratishwe na hako kaupuuzi ka M4C? Chezeya CCM wewe. Wasiosoma ni chakula ya wasomi. Click to expand... ccm mtaji wake ni wajinga waciojua lolote lakin m4c ni darasa na wanapona ujinga na wanakimbia ccmabwepande