Serayamajimbo
Senior Member
- Apr 15, 2009
- 191
- 40
Viva cdm
Nimetoa hii toka kwa mtandao wa Mnyika "M4C: Kwa kipindi cha mwaka mmoja cha utumishi wa umma nimeshuhidia umuhimu wa kuchanganya vyama katika mabaraza ya madiwani katika kuongeza uwajibikaji kwenye usimamizi wa fedha za umma katika serikali za mtaa ambazo ndio zinashughulikia kwa kiwango kikubwa masuala ya maendeleo katika maeneo yetu. Leo jumamosi 24/03 nitahutubia kwenye kampeni za uchaguzi wa udiwani kata ya vijibweni Manispaa ya Temeke Jimbo la Kigamboni. Tuunge mkono kwa kuwasiliana Kilewo 0714225960 au 0756091748 kwa ajili ya maelezo na maelekezo. Tushiriki kufanya mabadiliko tunayoyataka."
kipatikanacho kijenge chama kuangizia ngazi za chini yaan shina,pia pawepo na udhibiti wa hizo hela ili kuondokana na matumizi mabovu.
Cdm kwa kweli mpo kwa ajili yakuwanyonya watanzania , na si kuwasaidia. Jana mmewakausha pesa zao kwenye fund raising ya Naura Hotel. Leo wengine hata pesa yakunywa chai na familia zao hawana. Mnakuja tena kuwachangisha kwenye huu uchaguzi wa vijibweni. Na hizo pesa nyie mnalipana perdiem, guest na vinywaji, kweli nyie ndio mtaikomboa nchi hii kweli. Cdm acheni ubadhirifu wa fedha, mmeisha fanya hivyo kwa pesa za Sabodo na Ruzuku
cdm kwa kweli mpo kwa ajili yakuwanyonya watanzania , na si kuwasaidia. Jana mmewakausha pesa zao kwenye fund raising ya naura hotel. Leo wengine hata pesa yakunywa chai na familia zao hawana. Mnakuja tena kuwachangisha kwenye huu uchaguzi wa vijibweni. Na hizo pesa nyie mnalipana perdiem, guest na vinywaji, kweli nyie ndio mtaikomboa nchi hii kweli. Cdm acheni ubadhirifu wa fedha, mmeisha fanya hivyo kwa pesa za sabodo na ruzuku