Tunaomba CHADEMA MAKAO makuu waanzishe Programu tuchangie uanzishwaji wa Radio na TV yetu wenyewe ili tuwe tunasikiliza sera na hotuba za viongozi wetu makini majukwaaaani na Bungeni. Tutashukuru sana maana MAGAMBA wanatake advantage ya CHADEMA kukosa Media zake wenyewe kuchakachua taarifa na ikumbukwe kwamba wanapotosha sera ya majimbo kuwa ni kuigawa nchi kwa misingi ya Kikabila na Maeneo. Naamini wote mnasikiliza namna gani wanavyo potosha swala la gesi ya Mtwara.
TAFAKARI!!!!!!!!!!!!!!!!