M23 yakinukisha tena DRC

M23 yakinukisha tena DRC

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Leo tarehe 23 July, 2025, huko Rutshuru, Kivu kasikazini,toka alfajili, inasikika milio ya bunduki nzito. Ni kati ya AFC/M23 na makundi wa Wazalendo na FDLR.

Kivu kusini na kwenyewe,huko Masisi, kundi la CMC-FDP na NDC-R Walikale, na wenyewe walipambana, na mpaka sasa,hakuna walioweza kuirudisha nyuma M23.

Haya yanaendelea,huku wiki iliyopita, serikali ya DRC na M23 walisaini makubaliano ya awali ya kusitisha vita; kila upande umekuwa ukiushutumu mwingine kuongeza nguvu kazi na silaha, serikali ikihofia M23 inaitaka Uvira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom