nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 153
- 163
asante sana mkuu,na huwa wanarudisha baada ya muda gan maana wamenambia pesa itakua refunded within 3 upt 20 business dayMimi nimekuwa nikiitumia mara kwa mara mkuu, pesa inarudi kwenye kadi bila kwenda kokote....
hazifiki siku 7asante sana mkuu,na huwa wanarudisha baada ya muda gan maana wamenambia pesa itakua refunded within 3 upt 20 business day
hazifiki siku 7
Case closed
Tumia makampuni ya cargo either ya ndege au meli ni salama na mda mdogo zaidiKumbe hela huwa zinarudi. Kuanzia leo acha nianze kuagiza mizigo mikubwa. Ila bahitaji msaada wenu namna gani ya kuagiza bidhaa toafuti tofauti kwenye bando moja ili mzigo ukifika uwe kwenye percell moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo either uagize vyote kutoka kwa seller mmoja au utumie freight forwarderKumbe hela huwa zinarudi. Kuanzia leo acha nianze kuagiza mizigo mikubwa. Ila bahitaji msaada wenu namna gani ya kuagiza bidhaa toafuti tofauti kwenye bando moja ili mzigo ukifika uwe kwenye percell moja.
Sent using Jamii Forums mobile app